Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Angola aliyemaliza muda wake nchini, Sandro Agostinho de Oliveira, Juni 28, 2025 jijini Dodoma. Mheshimiwa Majaliwa amekutana na kumuaga balozi de Oliveira kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Angola aliyemaliza muda wake nchini, Sandro Agostinho de Oliveira, Juni 28, 2025 jijini Dodoma. Mheshimiwa Majaliwa amekutana na kumuaga balozi de Oliveira kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Angola aliyemaliza muda wake nchini, Sandro Agostinho de Oliveira, Juni 28, 2025 jijini Dodoma. Mheshimiwa Majaliwa amekutana na kumuaga balozi de Oliveira kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)