Profesa Erasto Mbughi Naibu Makamu Mkuu wa Chuo cha MUHAS mipango, Fedha na Utawala akipata maelezo kutoka kwa washirimi kutoka votengo mbalimbali wakati alipotembelea banda la Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili MUHAS katika maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika kwenye viwanja vya Julius Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Leo Juni 30, 2025.
Profesa Erasto Mbughi Naibu Makamu Mkuu wa Chuo cha MUHAS mipango, Fedha na Utawala akipata maelezo kutoka kwa washirimi kutoka votengo mbalimbali wakati alipotembelea banda la Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili MUHAS katika maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika kwenye viwanja vya Julius Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Leo Juni 30, 2025, Julia ni Kaimu Mkurugenzi Mioango na Uwekezaji MUHAS Ulimbaga Kajhobile.