Happy Lazaro, Arusha
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Arumeru, NOEL SEVERE amerejesha Fomu ya kuwania uteuzi nafasi ya ubunge katika jimbo la Arumeru Magharibi.SEVERE ni Miongoni mwa watia nia wenye nguvu na mwenye ushawishi katika jimbo hilo, ambapo mwaka 2020 aliongoza kura za Maoni.