RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amsikiliza Mwakilishi wa Kampuni ya NITCO. Binu Raj, wakati akitembelea maonesho, kabla ya kuifungua Semina ya Wataalamu Wasanifu Majengo Afrika Mashariki, iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-7-2025, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan, na (kulia kwa Rais) Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said. (Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amsikiliza Mwakilishi wa Kampuni ya JK.White Cement (Africa) Limited.Felista Francis Masabo, wakati akitembelea maonesho, kabla ya kuifungua Semina ya Wataalamu Wasanifu Majengo wa Afrika Mashariki, iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-7-2025, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan, na (kulia kwa Rais) Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said. (Picha na Ikulu).
WASHIRIKI wa Semina ya Wataalamu Wasanifu Majengo Afrika Mashariki, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuifungua semina hiyo inayofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Magharibi ”B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-7-2025, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuifungua Semina ya Wataalamu Wasanifu Majengo Afrika Mashariki, iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-7-2025, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea TUZO maalumu ya Mjenzi Shujaa na Mbunifu wa Majengo Tanzania kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhiwa na Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Semina ya Wataalamu Wasanifu Majengo Afrika Mashariki, iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-7-2025.(Picha na Ikulu)