Dar es Salaam. Kampuni kinara ya michezo ya kubashiri mtandaoni barani Afrika, betPawa, imeitikisa Afrika na kutengeneza historia kufuatia ushindi wa Sh2.6 bilioni (sawa na Dola za Kimarekani milioni 1.1) katika raundi moja kupitia mchezo wa aviator maarufu kwa jina la kindege.
Washindi walioshinda fedha hizo wanatoka nchi za Cameroon, Ghana na Zambia. Haya ni malipo makubwa zaidi kuwahi kutokea kwenye mchezo wa Aviator barani Afrika.
Hadithi hii ya kusisimua ilianza kwa dau dogo la hadi Sh 4,680 , kabla ya kukua kwa haraka hadi kufikia kizidishi cha kushangaza cha mara 750,000.
Wachezaji wa kawaida waligeuka kuwa mamilionea papo hapo, jambo lililothibitisha nafasi ya betPawa kama chapa kubwa ya michezo ya kubashiri Afrika.
Habari za ndani kutoka betPawa zinafichua mkakati wa kusisimua — licha ya ushindi huu mkubwa, kampuni haijapunguza kiwango chake cha juu cha ushindi cha Sh 650 milioni kwa kila ‘Raundi’ ya Aviator.
Kwa ujasiri wa kipekee, betPawa haijatetereka bali inazidi kujiimarisha, ikiweka wazi dhamira yake ya kuendelea kuleta matukio ya kubadili maisha kwa wachezaji wake.
Tayari wadau wa tasnia wanazungumza kwa msisimko, wakitabiri kwamba tukio hili linaweza kubadilisha mizani ya hatari na ushindi katika soko la kubashiri Afrika.
Kwa kiwango hiki cha ulipaji ambacho hakijawahi kufikiwa na mtoa huduma mwingine yeyote kwenye Aviator, betPawa inajidhihirisha kuwa chapa kubwa barani Afrika ambayo inayoweza kulipa mamilioni huku ikiendelea kudumisha msisimko wa mchezo.
Ingawa majina ya washindi bado hayajafichuliwa, tetesi zinaeleza kuwa kuna maandalizi ya tukio la kifahari na la kipekee kusherehekea washindi kutoka Cameroon, Ghana na Zambia — tukio linalosubiriwa kwa hamu kote barani.
Jambo moja ni hakika: betPawa imeweka kiwango kipya cha ushindi Afrika, na safari ya kuvunja rekodi mpya ndiyo kwanza inaanza!