Jaji wa Mahakama Kuu, Mhe. Isaya Arufani Kweka, akiagana na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Fedha, Bw. Benny Mwaipaja, baada ya kutembelea Banda la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam (Sabasaba) yanayoendelea katika Viwanja vya Sabasaba, Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Fedha, Bw. Benny Mwaipaja (kushoto), akifafanua jambo kwa Jaji wa Mahakama Kuu, Mhe. Isaya Arufani Kweka (katikati), baada ya kupata maelezo kwa Mwanasheria kutoka Ofisi ya Usuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi (TOST), Bi. Hawa Songoro, wakati Mhe. Jaji Kweka, alipotembelea Banda la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam (Sabasaba) yanayoendelea katika Viwanja vya Sabasaba, Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam.
Jaji wa Mahakama Kuu, Mhe. Isaya Arufani Kweka (kulia), Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Fedha, Bw. Benny Mwaipaja (katikati) wakiteta jambo na Afisa Mkuu kutoka Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha Wizara ya Fedha, Bw. Fred Ilomo, alipotembelea Banda la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam (Sabasaba) yanayoendelea katika Viwanja vya Sabasaba, Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam.
Jaji wa Mahakama Kuu, Mhe. Isaya Arufani Kweka (kulia), akieleza kuhusu kuongeza nguvu ya kutoa elimu ya fedha kwa watanzania hususani kwa wastaafu, alipotembelea Banda la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam (Sabasaba) yanayoendelea katika Viwanja vya Sabasaba, Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Fedha, Bw. Benny Mwaipaja.
Jaji wa Mahakama Kuu, Mhe. Isaya Arufani Kweka (kushoto), akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa Mkuu kutoka Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha Wizara ya Fedha, Bw. Fred Ilomo, kuhusu elimu ya fedha, alipotembelea Banda la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam (Sabasaba) yanayoendelea katika Viwanja vya Sabasaba, Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Fedha, Bw. Benny Mwaipaja.
Jaji wa Mahakama Kuu, Mhe. Isaya Arufani Kweka (kushoto), akisaini kitabu cha wageni, alipotembelea Banda la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam (Sabasaba) yanayoendelea katika Viwanja vya Sabasaba, Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwanasheria kutoka Ofisi ya Usuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi, Bi. Hawa Songoro.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Fedha, Bw. Benny Mwaipaja (kushoto), akimuongoza Jaji wa Mahakama Kuu, Mhe. Isaya Arufani Kweka (katikati), kutembelea Banda la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam (Sabasaba) yanayoendelea katika Viwanja vya Sabasaba, Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam.
Jaji wa Mahakama Kuu, Mhe. Isaya Arufani Kweka (katikati) na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Fedha, Bw. Benny Mwaipaja (wa pili kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe walioambatana na Jaji Kweka, alipotembelea Banda la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam (Sabasaba) yanayoendelea katika Viwanja vya Sabasaba, Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam. (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha, Dar es Salaam).
………