Nilijitahidi mno kutia bidii katika masomo tangia nipo shule ya msingi ili niweze kujiunga na shule ya upili ya ndoto zangu ambayo ni mmoja wapo wa shule za kitaifa iliyopo Nairobi nchini Kenya. Ndoto yangu ilikuwa kuwa daktari wa ubongo ambayo ndiyo taaluma niliyosomea Chuo Kikuu, nikiwa shule ya upili nilijitahidi hadi baada ya miaka……. SOMA ZAIDI