RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kilifungua Jengo Jipya la Ofisi Kuu ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Maisara Jijini Zanzibar hafla hiyo iliyofanyika leo 16-7-2025, na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe. Jaji Georg Joseph Kazi.(Picha na Ikulu)
MUONEKANO wa Jengo Jipya la Ofisi Kuu ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) lililofunguliwa leo 16-7-2025 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi .(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali alipowasili katika viwanja vya Ofisi ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Maisara Jijini Zanzibar leo 16-7-2025 kwa ajili ya ufunguzi wa Ofisi za Tume hiyo. (Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Jengo Jipya la Ofisi Kuu ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-7-2025 na (kushoto Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe.Jaji George Jiseph Kazi .(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali wakipongeza baada ya kulifungua Jengo Jipya la Ofisi Kuu ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) lilioko Maisara Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, hafla hiyo ya ufunguzi iliyofanyika leo 16-7-2025..(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kilifungua Jengo Jipya la Ofisi Kuu ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Maisara Jijini Zanzibar hafla hiyo iliyofanyika leo 16-7-2025, na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe. Jaji Georg Joseph Kazi.(Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Thabit Idarous Faina (kushoto kwa Rais) wakati akitembelea Ofisi za Jengo Jipya la Ofisi Kuu ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Maisara Jijini Zanzibar baada ya kulifungua leo 16-7-2025 na (kushoto) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla.(Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Thabit Idarous Faina wakati akitembelea Ofisi za Jengo Jipya la Ofisi Kuu ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Maisara Jijini Zanzibar, baada ya kulifungua leo l6-7-2025 na (kushoto kwa Rais ) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe.Jaji Georg Joseph Kazi na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa.(Picha na Ikulu).
MWANANCHI akishangilia wakati wa hafla ya ufunguzi wa Jengo Jipya la Afisi Kuu ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua leo 16-7-2025.(Picha na Ikulu).
BAADHI ya Viongozi wa Serikali, Wageni waalikwa na Wananchi katika hafla ya ufunguzi wa Jengo Jipya la Afisi Kuu ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) wakifuatilia hutuba ya ufunguzi, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani ) akihutubia baada ya kulifungua jengo hilo leo 16-7-2025 .hafla hiyo iliyofanyika katika Afisi za Tume Maisara Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Jengo Jipya la Afisi Kuu ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Maisara Jijini Zanzibar, hafla hiyo ya ufunguzi wa Afisi za Tume uliyofanyika leo 16-7-2025.(Picha na Ikulu)