Mkaguzi na Msajili wa Meli wa TASAC Mhandisi Said Kaheneko akizungumza kuhusiana na ujio Boti mbili za Uokozi zinazokwenda Mkoani Mwanza.
Muonekano wa Boti ya Uokozi zinazoelekea mkoani Mwanza.
Na Mwandishi Wetu
SHIRIKA la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limeingiza Meli mbili za Uokozi zenye thamani ya zaidi ya sh.Bilioni Nne zitazokwenda kuhudumia Ziwa Victoria .
Meli hizo kupelekwa katika Ziwa Victoria kutokana na ajali ambazo zimekuwa zikitokea ambapo kwa mujibu Takwimu iliyofanywa na Msalaba Mwekundu (Red Cross) mwaka 2018 ni watu 18000 hufa kwa maji katika vyombo vya majini.
Akizungumza wakati kuzipokea Meli hizo Mkaguzi na Msajili wa Meli wa TASAC Mhandisi Said Kaheneko amesema kuwa TASAC kununua Boti hizo ni maelekezo ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan katika kuwajali Watanzania
Amesema kuwa Boti hizo katika majanga inahudumia nchi Tatu kutokana na kuingiliana katika biashara na nchi jirani.
Kaheneko amesema kuwa Boti hizo katika historia hakujakuwa na boti za kisasa kama hizo kutokana na kuwa na uwezo wa kasi hata tukio ajali ya chombo majini inaweza kufika kwa wakati.
“Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan ameweza hili kwa moyo mkunyufu kwa wananchi wake na TASAC tulipokea maelekezo yake na kufanikisha”amesema Mhandisi Kaheneko.
Afisa Uhusiano Mwandamizi wa TASAC Mariam Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limeingiza Boti mbili za Uokozi zenye thamani ya zaidi ya sh.Bilioni Nne zitazokwenda kuhudumia Ziwa Victoria.
Boti hizo kupelekwa katika Ziwa Victoria kutokana na ajali ambazo zimekuwa zikitokea ambapo kwa mujibu Takwimu mwaka 2018 ni watu 18000 hufa kwa maji katika vyombo vya majini.
Akizungumza wakati kuzipokea Meli hizo Mkaguzi na Msajili wa Meli wa TASAC Mhandisi Said Kaheneko amesema kuwa TASAC kununua Boti hizo ni maelekezo ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan katika kuwajali Watanzania.
Amesema kuwa Boti hizo katika majanga inahudumia nchi Tatu kutokana na kuingiliana katika biashara na nchi jirani.
Kaheneko amesema kuwa Boti hizo katika historia hakujakuwa na boti za kisasa kama hizo kutokana na kuwa na uwezo wa kasi hata tukio ajali ya chombo majini inaweza kufika kwa wakati.
“Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan ameweza hili kwa moyo mkunyufu kwa wananchi wake na TASAC tulipokea maelekezo yake na kufanikisha”amesema Mhandisi Kaheneko.
Afisa Uhusiano Mwandamizi wa TASAC Mariam Mwayela amesema kuwa Boti hizo zinakwenda kuwa msaada katika Ziwa Victoria na kuwa na uhakikia pindi majanga yanapokea kupata uokozi kwa haraka.
Amesema kuwa kwenda Boti hizo Mwannza katika Ziwa Victoria kutokana na kuwa matukio ya ajali ya kujirudia na kugharimu maisha ya watu. kuwa Boti hizo zinakwenda kuwa msaada katika Ziwa Victoria na kuwa na uhakikia pindi majanga yanapokea kupata uokozi kwa haraka.
Amesema kuwa kwenda Boti hizo Mwanza katika Ziwa Victoria kutokana na kuwa matukio ya ajali ya kujirudia na kugharimu maisha ya watu.
Amesema huo ni mwendelezo TASAC walianza na Boti ya Matibabu na sasa Boti kwa ajili ya Uokozi.