Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Uongozi wa Kampuni ya Miss World Limited ulioongozwa na Mwenyekiti na Mkurugenzi Mkuu wake Bi. Julia Evelyn Morley, Mshindi wa Miss World 2025 Bi.Opal Suchata Chuangsri kutoka Thailand, Miss World Africa Bi. Hasset Dereje Admassu kutoka Ethiopia, Kizimkazi Zanzibar tarehe 20 Julai, 2025. Pia kikao hicho kimehudhuriwa na Viongozi wa Wizara ya Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, pamoja viongozi wa Maliasili na utalii. Pamoja na mambo mengine kikao hicho kilijadili namna ya Tanzania kuwa mwenyeji wa mashindano ya kimataifa ya Miss World 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mshindi wa Miss World 2025 Bi. Opal Suchata Chuangsri mara baada ya mazungumzo yaliofanyika Kizimkazi, Zanzibar tarehe 20 Julai, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Miss World Africa na mshindi wa pili kwa mwaka 2025 Bi. Hasset Dereje Admassu kutoka Ethiopia mara baada ya mazungumzo yaliofanyika Kizimkazi, Zanzibar tarehe 20 Julai, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyekiti na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Miss World Limited Bi. Julia Evelyn Morley mara baada ya mazungumzo yaliofanyika Kizimkazi, Zanzibar tarehe 20 Julai, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mshindi wa Miss World 2025 Bi. Opal Suchata Chuangsri pamoja na Miss World Africa na mshindi wa pili kwa mwaka 2025 Bi. Hasset Dereje Admassu kutoka Ethiopia mara baada ya mazungumzo yaliofanyika Kizimkazi, Zanzibar tarehe 20 Julai, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mshindi wa Miss World 2025 Bi. Opal Suchata Chuangsri pamoja na Miss World Africa na mshindi wa (((pili kwa mwaka 2025 Bi. Hasset Dereje Admassu kutoka Ethiopia mara baada ya mazungumzo yaliofanyika Kizimkazi, Zanzibar tarehe 20 Julai, 2025.