Leo nna mzuka tu kuharibu biashara za watu , Anyway ipo hivi
1.Feisal ndiye kiungo bora kwa sasa Nchini hapo tukubaliane hakuna kabisa ubishi
2.Kuelekea msimu wa 2025/26 Feisal anastahili kuwa mchezaji anayelipwa pesa ndefu nchini , hapo pia hakuna ubishi
3.Watu wapo nje ya muda , Idara ya Habari imeambiwa iandae kabisa graphics za utambulisho hili pia halihitaji ubishi
Digala was here