
Kikao cha Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanyika majira ya saa nane usiku chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia na kuchuja majina ya wagombea Jijini Dodoma tarehe 28 Julai, 2025.