Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa Nchi na Gavana Mkuu wa Grenada Mheshimiwa Dame Cécile Ellen Fleurette La Grenade, kabla ya ufunguzi wa Jukwaa la nne wa Kibiashara na Uwekezaji kati ya Afrika na Karibiani (Afri-Caribbean Trade and Investment Forum – ACTIF 2025) mjini St. George’s, nchini Grenada, Julai 28,2025. Mheshimiwa Majaliwa amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano huo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa Grenada ni Dickon Amiss Thomas , kabla ya ufunguzi wa Jukwaa la nne wa Kibiashara na Uwekezaji kati ya Afrika na Karibiani (Afri-Caribbean Trade and Investment Forum – ACTIF 2025) mjini St. George’s, nchini Grenada, Julai 28,2025. Mheshimiwa Majaliwa amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano huo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifuatilia hotuba mbalimbali wakati wa ufunguzi wa Jukwaa la nne wa Kibiashara na Uwekezaji kati ya Afrika na Karibiani (Afri-Caribbean Trade and Investment Forum – ACTIF 2025) mjini St. George’s, nchini Grenada, Julai 28,2025. Mheshimiwa Majaliwa amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano huo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Zamani wa Nigeria Olusegun Obasanjo kabla ya ufunguzi wa Jukwaa la nne wa Kibiashara na Uwekezaji kati ya Afrika na Karibiani (Afri-Caribbean Trade and Investment Forum – ACTIF 2025) mjini St. George’s, nchini Grenada, Julai 28,2025. Mheshimiwa Majaliwa amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano huo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)









