Kwa mujibu wa taarifa ni kuwa kocha Fadlu amepiga pause baadhi ya sajili kuelekea msimu ujao akiwataka viongozi kutafuta Quality zaidi na kama watakosa basi ndio wachukue hao wa chezaji na miongoni mwa sajili hizo ni pamoja na ya Khadim Diaw na Rodriguez Kossi
Kiungo Rodriguez Kossi anakaribia kujiunga na klabu ya Hassania Union Sport Agadir ya nchini Morocco akiwa mchezaji huru
Beki Khadim Diaw bado anamkataba wa miaka miwili na Al Hilal na hana ofa nyingine kwa sasa tofauti na hiyo ya Simba Sc’