Bodi ya ligi kuu soka Tanzania bara imetangaza rasmi kuwa msimu mpya wa ligi kuu soka Tanzania bara utaanza Septemba 16,2025.
Kwa namna heka heka za usajili zilivyo mpaka sasa unadhani ni timu gani ina uwezo wa kutwaa ubingwa wa ligi msimu wa 2025/26?