Meneja wa Mradi wa Euromonitor, Benjamin Rideout, akizungumza kwenye mkutano wa wadau uliofanyika 30 Julai 2025 jijini Dar es Salaam, kujadili changamoto ya pombe haramu, inayoaminika kuchangia asilimia 55 ya matumizi ya pombe nchini. Mkutano huo uliandaliwa na CTI na kuhudhuriwa na wadau kutoka sekta binafsi na serikali. Pichani kutoka kushoto ni Prof. Lilian Kahale... Read More
Meneja wa Mradi wa Euromonitor, Benjamin Rideout, akizungumza kwenye mkutano wa wadau uliofanyika 30 Julai 2025 jijini Dar es Salaam, kujadili changamoto ya pombe haramu, inayoaminika kuchangia asilimia 55 ya matumizi ya pombe nchini. Mkutano huo uliandaliwa na CTI na kuhudhuriwa na wadau kutoka sekta binafsi na serikali.
Pichani kutoka kushoto ni Prof. Lilian Kahale (UDSM), DC wa Kinondoni Mhe. Saad Mtambule, na Mkurugenzi Mtendaji wa Serengeti Breweries, Dr. Obinna Anyalebechi.