“Nashukuru Sana kwa kupewa tuzo na Yanga , kwangu Mimi ni faraja kuona wamethamini nguvu ambayo mimeitoa kwa Kipindi chote nipo Yanga”
“Kwangu Mimi Yanga ni Sehemu ya familia , nisehemu ya Maisha Yangu, wameshakuwa Ndugu zangu na daima niraturudi hapa”
“Siwezi kuonekana nikicheza Tanzania naondoka naenda mbali, naenda mbali Sana na hapa”.
Maneno ya aliyekuwa mchezaji wa klabu ya Yanga Khalid Aucho akizungumza kwenye kipindi cga SPORSTS KNOCKOUT cha Mjini Fm.
.