Klabu ya Yanga Sc imemtambulisha mshambuliajii Andy Bobwa Boyeli (24) kama mchezaji mpya klabuni hapo kwa mkataba wa mkopo wa msimu mmoja wenye kipengele cha kununuliwa jumla akitokea Sekhukhune United ya South Africa
Msimu wa 2022/23 akiwa na klabu ya Power Dynamos, Boyeli alitwaa tuzo ya mchezaji bora wa msimu (MVP) sambamba na kutwaa kiatu cha mfungaji bora wa ligi ya Zambia akifunga magoli 18.