
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema amepokea kibali cha kutekeleza Ikama na Bajeti kwa Ajira Mpya kwa mwaka wa fedha 2024/2025 chenye Kumb.Na.FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29 Aprili,
2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Hivyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya
Sengerema anawatangazia wananchi wote ambao ni Raia wa Tanzania wenye sifa kuomba nafasi zilizoorodheshwa hapa chini: –
Mwisho wa kupokea maombi ya kazi katika mfumo ni tarehe 11 Agosti, 2025.
BONYEZA HAPA >>>TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA SENGEREMA