Kuelekea msimu wa 2025/26, Uongozi wa Young Africans leo asubuhi umekutana na Benchi la ufundi, wachezaji na watendaji wa Klabu kwa ajili ya utambulisho na semina kuhusu historia, matarajio na majukumu ya kila mmoja ndani ya Klabu
Hafla hii imefanyika kwenye hoteli ya Rotana, Jijini Dar Es Salaaam.