Michezo ya Ngao ya Jamii hatua ya nusu fainali inatarajiwa kuchezwa September 11 huku mchezo wa fainali ukitarajiwa kuchezwa September 14 kabla ya kufunguliwa rasmi kwa pazi la ligi kuu msimu wa 2025/26.
Nusu Fainali ya itazikutanisha timu za Yanga na Azam huku Simba akicheza dhidi ya Singida Black Stars na washindi wawili wa michezo hiyo watafuzu kucheza fainali ya taji hilo.