BREAKING 🚨: ELIE MPANZU HAJAWASILI MAZOEZINI.
Mpaka sasa Mchezaji wa Simba Mcongo Elie Mpanzu hajawasili kwenye kambi ya timu ya Simba iliyopo Pre-Season nchini Misri.
Mpanzu hajatoa taarifa yeyote kuhusu kuchelewa kwake kwenye kambi ya Pre-season.
Uongozi wa Simba unaendelea kufanya juhudi za kumtafuta ili aungane na wenzake kuelekea maandalizi ya Msimu Mpya
​Â