Mchezaji wa kimataifa wa Tanzania Rahim Shomary ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji mpya wa Ghazl El-Mahalla F.C ya Ligi kuu Misri aktokea KMC FC ya ligi kuu Tanzania.
Beki huyo wa kushoto aliyecheza Simba, KMC ambaye pia ni mchezaji wa timu ya Taifa ya vijana (Ngorongoro Heroes) atacheza Ligi kuu nchini Misri kuanzia msimu ujao.