PARIS, MABINGWA wa Ligi ya mabingwa barani Ulaya Paris Saint Germain (PSG) wametawala orodha ya awali ya majina ya wachezaji 30 wanawania tuzo ya mwanasoka bora wa Dunia maarufu kama Balon D’or.
PSG wanaongoza orodha hiyo wakiwa na wachezaji tisa akiwemo Ousmane Dembele ambaye anatajwa kuongoza mbio za kutwaa tuzo hiyo ambayo ni kipimo kikubwa cha mafanikio binafsi ya wanasoka.
Katika orodha hiyo pia yamo majina makubwa kama Raphinha, Lewandowski, Mbappe, Wirtz, Mo salah, Gyokeres, Lamine Yamal, Erling Haaland na wengine kibao kama walivyoorodheshwa hapa chini.
Ousmane Dembele – Paris Saint Germain
Gianluigi Donnarumma – Paris Saint Germain
Jude Bellingham – Real Madrid
Desire Doue – Paris Saint Germain
Denzel Dumfries – Inter Milan
Serhou Guirasy – Borussia Dortmund
Erling Haaland – Manchester City
Viktor Gyokeres – Arsenal/Sporting CP
Achraf Hakimi – Paris Saint Germain
Harry Kane – Bayern Munich
Khvicha Kvaratskhelia – Paris Saint Germain
Robert Lewandowski – Barcelona
Alexis Mac Allister – Liverpool FC
Lautaro Martínez – Inter Milan
Scott McTominay – SSC Napoli
Kylian Mbappe – Real Madrid
Nuno Mendes – Paris Saint Germain
Joao Neves – Paris Saint Germain
Pedri Rodriguez – Barcelona
Cole Palmer – Chelsea FC
Michael Olise – Bayern Munich
Raphinha – Barcelona
Declan Rice – Arsenal FC
Fabian Ruiz – Paris Saint Germain
Virgil Van Dijk – Liverpool FC
Vinicius Jr – Real Madrid CF
Mohamed Salah – Liverpool FC
Florian Wirtz – Liverpool /Bayer Leverkusen
Vitinha – Paris Saint Germain
Lamine Yamal – Barcelona
Sherehe za ugawaji wa tuzo hiyo inatarajia kufanyika katika ukumbi wa Theatre Du Chattelet jijini Paris nchini Ufaransa Septemba 23 mwaka huu.
The post PSG yatawala Balon D’or top 30 first appeared on SpotiLEO.