Mkuu wa kitengo cha masoko na mauzo Watumishi Housing Investments ndugu Raphael Mwabuponde akitoa elimu kuhusu uwekezaji wa pamoja kwenye mfuko wa faida(Faida Fund) kwa watu mbalimbali pamoja na wanafunzi wanaotembeleoa bmaonyesho ya wakulima naenane mkoani Mbeya yalionza Agosti moja, 2025.
Ndugu Mwabuponde anawakaribisha watu wote wanaotembelea haya maonyesho kufika kwenye banda la Watumishi Housing Investments ili wapate elimu ya kumiliki nyumba maeneo mbalimbali hapa nchini pamoja uwekezaji kwenye mfuko wa Faida.(Faida Fund)