Baada ya kuonyesha kiwango bora katika michuano ya Chan inayoendelea katika mataifa matatu
Tanzania.Kenya&Uganda .Kiungo fundi Allan Okello ameingia Kwenye headline huku akiimbwa Sana na mashabiki wa Simba SC
Huku mashabiki hao wa Simba wakitamani Kiungo huyo wa taifa la Uganda asajiliwe kilabuni hapo na kuchukua nafasi ya Joshua mutale mzambia huyo ambaye amekua na panda shuka nyingi za kiwango chake
JE unaonaje kiwango cha Allan Okello Ni kweli amemzidi ubora Joshua mutale