Mshambuliaji wa timu ya Singida black stars Edmun John amesafiri na Yanga nchini Rwanda.
Edmun john huweda akawa mrithi wa Clement Mzize endapo akiondoka kwneye kikosi cha Yanga.
Edmun ni mshambuliaji mzuri ambaye analijua vizuri soka la ndani, amewahi pia kucheza kunako kikosi cha Geita gold.