Klabu ya Simba Sc imekamilisha Usajili wa Mchezaji Kiraka, Naby Camara raia wa Guinea.
Camara anasifika kwa kumudu kucheza nafasi mbalimbali uwanjani ikiwemo Beki wa Kushoto na Kiungo wa kati, Namba 10 ama hata Winga wa kushoto.
NB::Mtu anaitwa NABY, alafu CAMARA, hivu nyie hamuogopi?