Azam FC imefikia makubaliano na klabu ya Yanga kuhusu dili la mchezaji, Nizar Abubakar Othman.
Azam FC imempa baraka zote mchezaji huyo na kumtakia kila la heri katika maisha yake mapya ya soka.
Klabu hiyo ya Chamazi imepongeza Yanga kwa weledi waliouonesha hadi kupata muafaka wa mchezaji huyo