Usiku huu Ateba ameaga na kuondoka kwenya kambi ya Simba pale Misri, It’s Over kati ya Simba na Ateba
Naby Camara amechukua nafasi ya Ateba kwenye orodha ya wachezaji wa kigeni, Ikumbukwe dirisha la usajili la kimataifa linafungwa leo saa 6 usiku
Taarifa za kiutondoti yakinifu zinaeleza kuwa mshambuliaji Lionel Ateba tayari ametemwa kwenye kikosi cha Simba kuelekea msimu ujao.
Tayari wachezaji wenzake na baadhi ya viongozi waliosafiri Cairo wameshamuaga.
Inaelezwa Mnyama Simba bado yupo kwenye mawindo ya kuongeza mshambuliaji mwingine hatari.
Hata maisha ya Mutale bado sio mazuri kwenye kikosi cha simba sc amekalia kuti kavu.