Wajumbe wa mkutano mkuu TFF wamemthibitisha Wallace Karia kwa kumpigia kura za ndio kwa asilimia 100 kuwa Rais wa soka Nchini kwa miaka mingine minne.
Karia alikua mgombea pekee wa nafasi wa Urais, kufuatia wagombe wengine kuenguliwa kwa kukosa vigezo vya kikanuni.