Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars itachuana na Morocco kwenye robo fainali ya kombe la Mataifa Afrika kwa wachezaji wa ndani CHAN2024 huku Harambee Stars ya Kenya ikitarajiwa kuchuana na Madagascar kwenye hatua hiyo.
Kenya imemalizika kileleni mwa Kundi A baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Zambia wakati Morocco ikimaliza nafasi ya pili baada ya kuilaza Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 3-1.
Kinara wa Kundi A (Kenya) atakutana na mshindi wa pili wa Kundi B (Madagascar, wakati mshindi wa pili wa Kundi A (Morocco) akichuana na kinara wa Kundi B (Taifa Stars)
FT: Zambia πΏπ² 0-1 π°πͺ Kenya
FT: DR Congo π¨π© 1-3 π²π¦ Morocco
ROBO FAINALI CHAN2024
Tanzania πΉπΏ vs π²π¦ Morocco
Kenya π°πͺ vs π²π¬ Madagascar
βΒ