Mpaka sasa SIMBA imesajili na kuwatangaza wachezaji 8 ambao ni Jonathani sowah , kante, rushine,bejaber,mligo, semfuko,morice ,naby camara,ni maema pekee bado ajatangazwa jumla dirisha hili kubwa SIMBA atakuwa amesajili wachezaji 9 tu
Upande wa AZAM FC mpaka sasa wamesajili wachezaji 10 ambao ni ziotun , fofana ,kanoute,manyama, kitambala, himidi,dialo, malima, lawi ,manula,huku mmoja akiwa ajatangazwa jumla watakuwa wamesajili wachezaji 11 kwenye dirisha hili kubwa
Upande wa Tatu mpaka sasa wamesajili na kuwatangaza wachezaji 10 ambao ni chikola ,Edmund, Zimbwe jr ,Ecua, Conte, kouma, Boyeli, Doumbia, Ninju, Casemiro, huku mmoja akiwa ajatangazwa kwa ujumla dirisha hili kubwa watakuwa wamesajili wachezaji 11
Ukiangalia kwa makini utajua kuna timu imesajili kwa malengo na mahitaji ya timu alafu kuna watu wamekusanya tu wachezaji ili tu waonekane wamesajili “
By Mchambuzi Jemedari