Klabu ya Simba SC imepoteza kwa mabao 4-3 dhidi ya ENPPI ya Misri katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliochezwa jijini Cairo, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 40 tangu kuanzishwa kwa klabu hiyo ya ENPPI.
Mgeni rasmi katika tukio hilo alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Misri, Jenerali Richard Makenzo, pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa ENPPI, Bw. Ayman Al-Shari.
Mchezo huo ulioshuhudia ushindani mkali, ulihitimishwa kwa wenyeji ENPPI kuibu