Baada ya mchezo na Uganda, nahodha wa timu ya Taifa ya Afrika Kusini, Neo Maema hakuwa na maneno mengi ya kuongea mbele ya waandishi wa habari zaidi ya kuwauliza wamejisikiaje kupata penalty mbili.
“Kwahiyo, mmejisikiaje kupewa penalty mbili ?” alinukuliwa Neo Maema, Nahodha wa timu ya Taifa ya Uganda akiongea kwa hasira kali.
Baada ya mchezo huo uliomalizika kwa sare, Afrika kusini wameaga rasmi michuano hiyo huku Uganda wakitinga hatua ya mtoano.