Meridianbet wamezindua promosheni ya kusisimua ya kasino ya mtandaoni inayoitwa Shindano la Expanse, ambapo kila siku wachezaji wana nafasi ya kuwa matajiri. Shindano hili linawapa wapenzi wa kasino fursa ya kujishindia zawadi za kuvutia, ikiwa ni pamoja na TZS 1,000,000 taslimu kwa mshindi wa nafasi ya kwanza. Jisajili leo kwenye meridianbet.co.tz na ujiunge na kinyang’anyiro cha ushindi.
Jinsi ya Kushiriki;
Jisajili au ingia kwenye akaunti yako kwenye tovuti au APP ya Meridianbet. Cheza michezo yoyote ya kasino ya mtandaoni kutoka Expanse Studio kwa dau la angalau TZS 1,000. Moja kwa moja utaingia kwenye shindano na kuwa na nafasi ya kushinda zawadi za ajabu.
Promosheni hii inaanza tarehe 16 Agosti 2025 na itaendelea hadi 31 Agosti 2025. Washindi watatangazwa baada ya kumalizika kwa shindano, na bonasi za kasino zitagawanywa kulingana na msimamo wa jedwali la washindani.
NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Shindano hili linahusisha michezo ya kasino ya mtandaoni kutoka Expanse Studio, ambayo ni pamoja na Wild White Whale, Zombie Apocalypse, Gates of Olympia, God of Coins, Leprechaun Wish, Pinata Loca, Wild Icy Fruits, Pia Premium, 100 Super Icy. Cheza mojawapo ya michezo hii ili upate nafasi ya kupanda kwenye jedwali la washindani
Zawadi za Shindano
Zawadi zitagawanywa kwa wachezaji 40 waliovuka nafasi za juu kwenye jedwali la washindani. Mgawanyiko wa zawadi ni kama ifuatavyo:
Nafasi ya 1: TZS 1,000,000 taslimu
Nafasi ya 2: TZS 500,000 taslimu
Nafasi ya 3: TZS 250,000 taslimu
Nafasi ya 4: TZS 250,000 taslimu
Nafasi ya 5: TZS 100,000 taslimu
Nafasi ya 6-40: Hadi mizunguko 100 ya bure kwenye mchezo wa Pia Premium. Na ushindi wowote unaopatikana kutokana na mizunguko ya bure unahitaji kuzungushwa mara 60 kwenye mchezo wa Pia ili uhamishwe kwenye akaunti yako ya pesa halisi.
Shindano hili limeundwa kwa wachezaji waliojisajili kwenye tovuti au APP ya meridianbet.co.tz, huku kila mchezo unaocheza ukikuweka karibu zaidi na ushindi
Usikose nafasi hii ya kuandika historia yako ya ushindi na Meridianbet. Jisajili sasa, cheza michezo ya Expanse, na uwe mmoja wa washindi watakaotawala jedwali la promosheni hii ya kipekee. Tembelea meridianbet.co.tz na uanze safari yako ya kushinda kitita cha pesa.
The post SHINDANO LA EXPANSE LA MERIDIANBET, PATA NAFASI YAKO YA KUSHINDA TZS 1,000,000… appeared first on Soka La Bongo.