Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini limetoa taarifa rasmi ya Mchezo wa Ngao ya Jamii baina ya Yanga SC dhidi ya Simba Sports Club utachezwa Septemba 16, 2025.
Mechi hiyo ya Dabi ya Kariakoo mchezo wa Ngao ya Jamii utapigwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa.
Msimu unaanza na lawama.