Mchezaji wa Simba sc Mohamed Bajaber ambaye kwasasa yupo na kambi ya timu ya Simba.
Wakati anaondoka timu ya Tiafa ya Kenya na kujiunga na Kambi ya Simba Misri mara baada ya deal la usajili Kutiki, wenzake kwasasa wanakoga mihela tu kutoka serikali ya Kenya kwa Kufanya Vizuri CHAN, tena wakivuka nusu fainali dau lao la mihela linaongezeka zaidi na Kupewa Nyumba Juu
Kweli maisha kupanga ni kuchagua tu huenda Simba Wanamlipa Vizuri