Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam tarehe 24 Agosti, 2025 kwa ajili ya kushiriki kwenye Kongamano la Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 lililoandaliwa na Umoja wa Maimamu Tanzania (UMATA).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiombewa dua na watoto yatima wa Kituo cha Watoto Yatima Mburahati mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam tarehe 24 Agosti, 2025 kwa ajili ya kushiriki kwenye Kongamano la Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 lililoandaliwa na Umoja wa Maimamu Tanzania (UMATA).
Matukio mbalimbali kwenye Kongamano la Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 lililoandaliwa na Umoja wa Maimamu Tanzania (UMATA) katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam tarehe 24 Agosti, 2025.