
Katika kuendelea kuhakikisha kuwa Meridianbet haikuachi hivi hivi, Jumatatu ya leo wameamua kukupatia ODDS za kibabe kwenye mechi zote za leo. Nani kuondoka na ushindi leo?. Tandika jamvi lako na ushinde sasa.
LALIGA kule Hispania inatarajiwa kuendelea Athletic Bilbao atamenyana vikali dhidi ya Rayo Vallecano ambao mechi iliyopita walishinda, huku mwenyeji wao akishinda pia. Hivyo zinakutana timu mbili ambazo zinataka kuendelea ushindi na kupata pointi 6. Pesa ipo mechi hii ndugu mteja wa Meridianbet kwani ODDS za mechi hii ni 1.75 kwa 5.20. Beti hapa.
Getafe CF atakuwa ugenini kumenyana dhidi ya Sevilla FC ambao walipoteza mechi yao iliyopita wakiwa ugenini hivyo leo hii wakiwa nyumbani wanahitaji ushindi huu kwa hali na mali. Mgeni aliondoka na pointi 3 mechi yake iliyopita. Je leo hii nani kuondoka na ushindi?. 2.20 kwa 3.90 ndio ODDS za mechi hii lakini pia machaguo zaidi ya 1000 unayapata hapa.
Jumatatu ya leo piga pesa kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.
Kule SERIE A napo kuna mitanange ya pesa mapema kabisa Udinese Calcio atamleta kwake Hellas Verona ambao kushinda mechi hii siku ya leo wamepewa ODDS 4.70 kwa 1.91. Mechi ya mwisho kukutana Verona aliondoka na ushindi mwembamba ugenini, hivyo leo hii mwenyeji anataka kulipa kisasi. Je nani ataanza ligi vyema?. Jisajili hapa.
Kwa upande wa Inter Milan wao wataanza ligi dhidi ya Torino FC ambao msimu uliopita walimaliza nafasi ya 11 huku mwenyeji yeye akimaliza nafasi ya 2 wakikosa ubingwa wa ligi dakika za jioni kabisa. Milan kwasasa wana kocha mpya ambaye ni Cristian Chivu. Meridianbet wanaipa mechi hii ODDS 1.42 kwa 8.00. Suka jamvi hapa.
EPL pale Uingereza kuendelea kwa mechi moja kali kabisa kati ya Newcastle United vs Liverpool ya Arne Slot. Meridianbet wanampa Liver nafasi kubwa ya kushinda mtanange huu wa leo baada ya kuanza vyema akiwa na ODDS 2.20 kwa 3.10. Mara ya mwisho kukutana hawa wawili, Jogoo alipoteza mechi hivyo leo hii anataka ushindi kwa hali na mali. Bashiri hapa.
SUPER LIG kule Uturuki halikdhalika kuna mechi moja ya kuongeza kwa jamvi lako ambapo Eyupspor atamenyana dhidi ya Alanyaspor ambapo mwenyeji msimu uliopita walipokutana aliondoka na pointi 4 baada ya mechi ya kwanza kwenda sare na ya pili kushinda. Bashiri mechi hii yenye ODDS 2.42 kwa 2.90.