NEW YORK: MWANAMUZIKI Britney Spears amesema ndoa yake na Sam Asghari kuwa ni usumbufu kutokana na kusababisha kupoteza mawasiliano na wanawe wawili Jayden James na Sean Preston.
Britney Spears anasema ndoa yake mbaya na Sam Asghari ilikuwa kizuizi kutokana na kutengwa na wanawe mwenye umri wa miaka 43 Jayden James mwenye miaka 18, na Sean Preston mwenye miaka 19, walihamia Hawaii pamoja na baba yao Kevin Federline mnamo 2023.
Britney ambaye alifunga pingu za maisha na Sam mnamo Juni 2022 kabla ya kutengana Julai 2023 aliandika kwenye Instagram: “Sisi ni watu dhaifu sana na wanadamu, maisha yangu ambapo wanangu wawili walipotea kwa miaka hiyo 3 nilikataliwa kuwapigia simu au kutuma ujumbe na nakumbuka kwa mshtuko siri yangu ya kuishi ilikataliwa na machozi mengi yalionekana kunisumbua mno nikiwa katika ndoa, Sam alinisumbua.”
Mnamo Novemba 2024, iliripotiwa kwamba Jayden alikuwa amemtembelea mama yake huko Los Angeles na kwamba Desemba: “Krismasi bora ya maisha yangu !!!”
The post Britney Spears ajutia ndoa yake na Sam Asghari first appeared on SpotiLEO.