Klabu ya Yanga SC imesema kuwa tayari winga husika amekataliwa na shirika la michezo duniani FIFA, vilevile meneja wa habari Ally Shaban Kamwe amesema kuwa “Ndugu zangu Waandishi wa Habari naomba kabla hamjanipigia simu kuuliza kuhusu Wakala wa mchezaji yoyote wa Young Africans Sports Club .. Tafadhalini, Jiridhisheni kwanza, huyo Wakala ana LESENI YA FIFA”
“Kanuni mpya zimetubana kuzungumza na MAWINGA kwenye mpira.”
Wangapi mnaona Yanga wapo sawa??????