MCHAMBUZI wa michezo Hans Rafael amesema kuwa “Mzize anabaki Yanga,tajiri amechoka kuwa mtumwa awamu hii anataka kushindana kimataifa.”
“Ukweli ni kwamba Mzize ndo mchezaji ambae analipwa hela ndefu kuliko wote Yanga tsh 40m kwa mwezi na kwa wazawa ni wa pili nyuma ya Fei Toto ambae analipwa tsh 50m kwa mwezi,, Mpira unalipa sana”