Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimpokea Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe Mhe. Kembo Campbell Mohadi alipowasili Ikulu Jijini Dar es salaam akiwa katika ziara ya kikazi nchini Tanzania. Tarehe 30 Agosti 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe Mhe. Kembo Campbell Mohadi akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es salaam akiwa katika ziara ya kikazi tarehe 30 Agosti 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe Mhe. Kembo Campbell Mohadi mara alipowasili Ikulu Jijini Dar es salaam akiwa katika ziara ya kikazi nchini Tanzania. Tarehe 30 Agosti 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe Mhe. Kanali Mstaafu. Kembo Campbell Mohadi mara alipowasili Ikulu Jijini Dar es salaam katika ziara ya kikazi nchini Tanzania. Tarehe 30 Agosti 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiongoza Ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo Rasmi na Ujumbe wa Zimbabwe ukiongozwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe Mhe. Kanali Mstaafu. Kembo Campbell Mohadi Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 30 Agosti 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa na Makamu wa Rais wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe Mhe. Kanali Mstaafu. Kembo Campbell Mohadi pamoja na viongozi mbalimbali na wageni waalikwa katika hafla ya chakula cha mchana iliyoandaliwa kwaajili ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe wakati wa ziara yake nchini Tanzania. Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 30 Agosti 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiagana na Makamu wa Rais wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe Mhe. Kanali Mstaafu. Kembo Campbell Mohadi mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe30 Agosti 2025.