Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania ametangaza kikosi cha timu hiyo kitakachoingia kambini Septemba 2, 2025 kwa ajili ya kujiandaa na michezo miwili ya Kufuzu Kombe la Dunia 2026 dhidi ya Congo Brazzaville na Niger huku nahodha Mbwana Ally Samatta akiwa miongoni mwa walioitwa.
Beki Adulrazack Hamza wa Simba ameshindwa kumshawishi kocha Taifa Stars
Pia ukizingatia upande wa majeraha yanayomkuta yana fanya asiweze kuwa nauhitaji mkubwa sana kwa team ya taifa