Dunia ya kasino mtandaoni imejaa promosheni nyingi, lakini kuna wakati fulani ambapo Meridianbet huinua mizani na kuwasha moto wa kipekee. Hapo ndipo inapokuja Happy Hour Zombie Apocalypse Free Spins, shoo halisi ya burudani na ushindi kwa kila mpenzi wa michezo ya kasino.
Kila Jumanne na Alhamisi, wachezaji wa Meridianbet wanapata nafasi ya kujishindia ofa kubwa kwenye mchezo maarufu wa Zombie Apocalypse kutoka Expanse Studios. Hii si promosheni ya kawaida, ni fursa ya kuongeza ushindi wako huku ukipata msisimko wa aina yake ndani ya kasino mtandaoni.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi. Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Unachohitaji ili kushiriki ni akaunti ya Meridianbet, iwe kupitia app au tovuti rasmi huku wachezaji wapya wanaojiunga nao pia wakipata nafasi mara moja baada ya kujisajili. Ili kuingia kwenye promosheni hii, unahitajika kuweka angalau 10,000 TSH na kucheza mara tano kwenye michezo ya kasino.
Kiasi unachoweka mchezoni ndicho kinachoamua ukubwa wa zawadi yako;
10,000 – 39,999 TSH = Mizunguko 10 bure
40,000 – 99,999 TSH = Mizunguko 20 bure
100,000 – 199,999 TSH = Mizunguko 30 bure
200,000 TSH na zaidi = Mizunguko 50 bure
Zawadi zako hutolewa siku hiyo hiyo, na utapata taarifa kupitia sehemu ya ujumbe kwenye akaunti yako.
Meridianbet imeweka masharti mepesi na yenye uwazi kwenye mchezo huu. Kwanza, akaunti moja tu inaruhusiwa kwa kila mchezaji. Pia, zawadi zinategemea kiwango cha pesa kilichowekwa ndani ya muda wa promosheni. Na mwisho kabisa, kampuni ina haki ya kusitisha au kubadilisha promosheni endapo kutakuwa na udanganyifu au changamoto za kiufundi.
Hii ni nafasi ya kipekee kwa kila mpenzi wa kasino kufurahia mchezo wa Zombie Apocalypse huku akipata mizunguko ya bure inayoweza kugeuza mchezo kuwa ushindi. Kila mzunguko ni msisimko, na uwezekano mpya.
Happy Hour ya Zombie Apocalypse siyo tu promosheni, bali ni tukio la kweli kwa mashabiki wa kasino mtandaoni. Je, uko tayari kuigeuza burudani kuwa ushindi?
The post HAPPY HOUR KUWASHA MOTO KASINO MTANDAONI YA MERIDIANBET….. appeared first on Soka La Bongo.