ASSINK NI BEKI KIRAKA
Beki Mpya wa Yanga Frank Assink ameanza kukiwasha pale Avic Town ambako kikosi cha Yanga kinaendelea na maandalizi ya Msimu Mpya.
Assink ni Beki kiraka ambaye Yanga Inaweza kumtumia katika nafasi yoyote kwenye safu ya Ulinzi kwani licha ya kumudu vyema Kucheza eneo la Beki wa Kati , pia anaweza kutumika kama mlinzi wa Pembeni.
Lakini pia Usajili wake utawapa Afadhali mabeki wa Kati Dickson Job na Ibrahim Bacca ambao wametumika zaidi katika misimu kadha, Assink anachukua nafasi ya Yao Kouassi ambaye amepewa muda zaidi wa Kuimarisha Afya yake kutokana na majeraha yanayomsumbua.
Assink anaweza kupenya kwenye Kikosi cha young Africans bila Kupewa muda zaidi, Beki mzuri Sana huyu, Energy ✅, To handle responsibilities ✅, Discipline ✅.self Commit (Kujituma)