
Akipokea mwenge huo Mkuu wa mkoa wa Geita Martin Shigela amesema kuwa Jumla ya halmashauri 6 za mkoa wa Geita zitapitiwa na mwenge huo huku jumla ya miradi 61 yenye thamani ya shilingi bilioni 164,427,000.
Mwenge wa uhuru umepokelewa katika halmashauri ya wilaya ya Geita ambapo utapita katika miradi 9 yenye thamani ya shilingi bilioni 2.8 na kukimbizwa kwa umbali wa km 85.
Mwenge wa uhuru mwaka 2025 unasindikizwa na kauli mbiu ya
“Jitokeze kushiriki uchaguzi mkuu 2025 kwa amani na utulivu