Mourinho ameripotiwa kuingiza zaidi ya Tsh 300 bilioni kutokana na kutimuliwa na vilabu vinapaswa kumlipa fidia wakati wa kuvunja kandarasi mapema.
Hadhi yake kama kocha mkuu inalindwa na kipengele cha mkataba kuvunja ina maana huwa anasaini mikataba mirefu na ya hela nyingi. Tangu akiwa klabu tajiri kama Chelsea, Real Madrid na Man United, malipo hayo yamekuwa makubwa.
Sogeza kushoto kuona pesa alizolipwa kwa kuvunjiwa mkataba kwenye timu alizopita.