ππππ ππππ Klabu ya Singida Black Stars imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama kwa mkataba wa mwaka mmoja, wenye kipengele cha kuongeza mwaka mwingine endapo atafanya vizuri msimu wa 2025/2026.
Kama nilivyokuwa nimetoa taarifa hapo awali kuhusu uhamisho wake wa kujiunga na Singida na sasa umetimia kwa asilimia 100%.
Singida Black Stars have officially completed the signing of attacking midfielder Clatous Chota Chama on a one-year contract, with an option to extend for an additional year based on performance in the 2025/2026 season.
As I previously reported about his potential move to Singida, the transfer is now 100% confirmed.
Prince Ndosi
βΒ